Leo June
12, 2017 Rais Magufuli amekabidhiwa Ripoti ya Kamati ya Pili aliyoiunda
kwaajili ya kuchunguza mchanga wa madini uliozuiwa kusafirishwa kwenda
nje ya nchi baada ya kubainika kuwepo kwa udanganyifu wa uzito na
thamani yake.
Ripoti
hiyo imekamilisha kile kilichokuwa kikisubiriwa na wengi ili kujua ni
nini itakuwa hatma ya mchanga huo ambapo baada ya
kuipokea ripoti hiyo
Rais JPM ameagiza kuwa hakutakuwa na usafirishaji wa mchanga kwenda nje
ikiwa ni pamoja na kupitisha mapendekezo 20 ya kamati hiyo.
FULL VIDEO

Comments