VIDEO: Griezmann hajafurahishwa na wenzake wa Ufaransa kumpongeza Varane kutwaa UEFA


Usiku wa June 6 moja kati ya video zilizokuwa zinasambaa katika mitandao ya kijamii ni kuhusiana na wachezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa pamoja na kocha wao Didier Deschamps kumpongeza Raphael Varane kwa kutwaa Champions League akiwa na
Real Madrid.
Varane ambaye alikuwa pamoja na wachezaji wenzake wa Ufaransa katika kambi ya timu ya taifa ya Ufaransa alipongezwa na wachezaji wenzake wote pamoja na viongozi wa benchi la ufundi kasoro mchezaji mwenzake Antoine Griezmann anayeichezea Atletico Madrid hakuonekana kufurahishwa.
http://millardayo.com/

Comments