Tabasamu lako akimshirikisha Hayati Mangwea ingawa hatujamsikia kwa muda mrefu sasa.
New story leo June 9, 2017 ni kuwa Pig Black amekaa na Ayo TV na millardayo.com na kueleza sababu za kuwa kimya pamoja na ujio wa single yake mpya iitwayo Tupa Shuka.
http://millardayo.com

Comments