Nikki wa Pili kuhusu kauli ya JPM ‘Hakuna mwenye mimba atakayerudi shuleni’:Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full Story
Nikki wa Pili aliandika kwenye Twitter yake:>>>”Ukimpa mwanfunz mimba jela miaka 30 mama anafukuzwa shule baba yuko jela mtoto huyu nae itakuwa ngumu pia kuepuka mimba ya utotoni #mzunguko, Mimba ndio njia yetu ya kuja duniani na mwanamke ndio shujaa wetu daima nampa nyota begani.” – Nikki wa Pili.
Baada ya tweet hiyo Ayo TV na millardayo.com zimempata Nikki wa Pilli ambaye anafafanua zaidi kuhusu kauli ya Rais Magufuli na alichokiandika kwenye Twitter.

Comments