Wenyeji Urusi wataanza michuano hiyo kwa kuikabili New Zealand kundi A
kutoa lugha za kibaguzi viwanjani wakati wa Mechi.
Urusi ambao ndio wenyeji wa fainali za kombe la Dunia za Mwaka 2018, hawana sifa nzuri ya kutenda haki uwanjani na mara nyingi kumekuwa tabia za kibaguzi, na FIFA imedai kuwa itaweka waangalizi wa mambo ya kibaguzi viwanjani.
Wenyeji Urusi wataanza michuano hiyo kwa kuikabili New Zealand kundi A, Jumapili Ureno watachuana na Mexico huku Cameroon ikimenyana Kundi B.
Michuano ya kombe
la Mabara inatarajiwa kuanza kesho Jumamosi nchini Urusi ikiwa ni mwaka
mmoja kabla ya kufanyika kwa fainali za kombe la dunia ikishirikisha
mataifa nane.
Kuelekea Michuano hiyo Shirikisho la kandanda
Ulimwenguni (FIFA) limewataka waamuzi watakochezesha kusimamisha mchezo
au kuuvunja endapo Mashabiki watakashifu nakutoa lugha za kibaguzi viwanjani wakati wa Mechi.

Comments