Maandalizi ya AFC Leopards dhidi ya Singida Utd leo tar 5/6 katika Uwanja wa karume jijini Dar es Salaam
Timu ya AFC Leopards ikijifua
Wachezaji wa timu
ya AFC Leopards ya Kenya wakiwa katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja
wa karume jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya
'SportPesa Super Cup' inayoanza kutimua vumbi Juni 5 kwenye Uwanja wa
Uhuru jijini, ambapo fungua dimba itakuwa ni kati ya Singida Utd na AFC
Leopards, mechi ya pili itakuwa ni kati ya wenyeji Yanga na Tusker Fc na
Juni 6 mchezo wa kwanza utakuwa ni kati ya Simba vs Nakuru Nakuru All
Stars na mchezo wa pili utakuwa

Comments