LIVE: Mapokezi ya Rayvanny Airport DSM baada ya kushinda BET

Kwenye YouTube ya ‘millardayo’ kuna LIVE kutoka Airport DSM ambako kuna mapokezi ya mwimbaji Reyvanny anayewasili kutoka Marekani  akiwa na tuzo yake ya BET Viewers Choice Best New International Act Artist.
                        Bonyeza Play hapa chini kutazama Live




published by:http://millardayo.com

Comments