Kocha wa Italia,Gian Piero Ventura
Mechi za kufuzu
fainali za kombe la Dunia 2018 hatua ya Makundi zimepigwa hapo jana
jumapili ambapo Moldova imetoka sare na Georgia ya bao 2-2, Finland
imechapwa bao 2-1 na Ukraine, Ireland imetoshana nguvu na Austria ya bao
1-1, Israel imechapwa bao 3-0 na
Albania, Iceland imeichapa Croatia
bao 1-0 ,Macedonia imefungwa bao 2-1 na Hispania, Italy ikiibugiza
Liechtenstein bao 5-0, Serbia walitoka sare na Wales ya bao 1-1 ,Kosovo
imechabangwa bao 4-1 na Uturuki.
Comments