Good News: Ikufikie hii ya bei mpya za mafuta kutoka EWURA June 30, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps wa tunamaliza mwezi June leo, niko na Good News hii kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA ambao wametangaza kushuka kwa bei mpya za mafuta ya vyombo vya moyo ikiwemo magari na mashine. Bei hizi elekezi zinaanza kutumika rasmi July 1, 2017. Nimekuwekea hapa chini bei za mafuta kwa nchi nzima kuanzia kesho Jumamosi July 1, 2017. http://millardayo.com Comments
Comments