VIDEO: Dokii afunguka kuhusu kurudi kuigiza na kugeukia vichekesho

Mwimbaji na msanii mkongwe wa maigizo Tanzania Dokii ameamua kurudi kwenye uigizaji kwa namna ya pekee baada ya kugeukia vichekesho ambapo mara hii ameungana na Timamu na mchekeshaji Mpoki.
Kwenye EXCLUSIVE Interview na Ayo TV  Dokii amekiri kuwa kimya kwa muda mrefu akifanya biashara tofauti ya muziki na uigizaji lakini sasa ameamua kurejea akigeukia vichekesho.
Bonyeza Play kusikiliza Full Story

Comments