Muimbaji wa muziki wa Kisingeli Dullah Makabila alikuwa ni miongoni mwa wasanii waliyotoa burudani katika mchezo wa fainali ya SportPesa Super Cup 2017 katika uwanja wa Uhuru Dar es salaam, Dullah alitoa burudani katika fainali hiyo ambayo Gor Mahia waliibuka mabingwa wa
SportPesa Super Cup kwa kuifunga AFC Leopards kwa magoli 3-0.
SportPesa Super Cup kwa kuifunga AFC Leopards kwa magoli 3-0.

Comments